Sunday, April 6, 2014

Pata mlonge ulioboreshwa kitaaalam na uliopimwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kwa labaratory namba 761/06. Mlonge uliopakiwa kwenye capsules ambazo ni lishe kinga na tiba.
Jipatie ushauri na  mwongozo wa lishe kwa magonjwa ya presha, kisukari, allegy kupunguza uzito na kuboresha  mifumo yote katika mwili.
                  
                  LISHE, KINGA NA TIBA
1.      Moringa leaf powder /capsules huongeza proteini, vitamini karibu zote ,madini kama Omega 3, na antioxidants. Inaondoa allergies, huboresha   na kuimarisha mwili.
2.      Morinutrition capsules inatibu na kujenga maumivu ya mifupa na kuongeza kinga mwilini.
3.      Moribites capsules tiba ya kisukari  inayozalisha .
4.      Moripressure tiba ya presha ya kupanda na kushuka .
5.      Morimalaria tiba ya malaria sugu na malaria ya kawaida na kinga ya malaria.
6.      Multipurpose capsules tiba ya  maradhi sugu na  inatibu gallstones na  uvimbe nyinginezo katika mwili.
7.      Moripower capsules men / women huboresha wa mfumo wa uzazi na kuondoa  uvimbe wa henia na fibroid.
8.      Moringa organic  seeds/capsules inaondoa sumu na maumivu makali,cholesterol na zinaondoa stress (sonona)
9.       Moringa root capsules inaboresha mifumo na kuondoa maumivu ya arthritis na rheumatism  na tiba ya kifafa.
10.  Moringa pure oil inatibu moyo ,kusafisha figo ,maumivu ya cancer,  vidonda vya tumbo inaondoa cholestrol.
11.   Morident Powder tiba ya meno yaliyotoboka,fiizi na huimarisha meno na kuondoa harufu mbaya    mdomoni.
                      
               COSMETICS (VIPODOZI)
12.  Moringa skin care oil tiba ya ngozi, chunusi na kuondoa madoa, miwasho na makovu.
13.   Moringa massage lotion mafuta ya kuchua kwa maumivu  ya  mgongo, kiuno, miguu na baridi  ya bisi
14.  Moringa sports oinment mafuta kwa ajili ya maumivu ya misuli ganzi na kwa wagonjwa waliopooza.
15.   Moringa hair food mafuta ya nywele yenye vitamin c yanaimarisha na kukuza nywele huondoa mba na fangasi za kichwani.
16.   Moringa shampoo huondoa mba kwenye ngozi  ya kichwa ,miwasho kichwani mapunye/mashilingi na  hulinda   ngozi ya kichwani kisipate fangasi.
17.  Moringa handwash sabuni ya kuosha mikono inayoua   vijidudu /bacteria wa aina yote 
18.  Moringa toilet soap sabuni ya kuongea  ina protini, vitamin c hulinda ngozi yako dhidi ya fangazi, mba,upele, mapunye na miwasho ni nzuri kwa watoto wachanga na watu wazima.    
19.   Mwaniki ladies soap sabuni maalum ya akina mama huondoa miwasho sehemu za  siri makwapani na  mapajani.
20.   Moringa face and body scrub huondoa mafuta yaliyoganda mwilini,ukurutu kufungua vitundu vya ngozi na kuondoa mibabuko,makovu na chunusi.
21.  Moringa disinfectant ni sabuni ya kutakatisha masinki, sakafu .choo na kuua wadudu
22.   Moringa detergent sabuni ya kufulia nguo,kusafisha nyumba, kusafisha vyombo vya nyumbani na choo .
23.  Moringa dishwash sabuni ya kuoshea vyombo.
24.  Moringa Chloride Bleach sabuni ya kuondoa madoa kwenye nguo nyeupe.
25.  Tiles Cleaner sabuni ya kusafisha tailizi.
26.  Toilet cleaner sabuni ya kusafishia choo na kuondoa harufu mbaya.
27.  Degreaser sabuni maalum ya kuosha sehemu zenye oili,grisi na pia iunasafisha injini za magari
28.  Carpet cleaner sabuni ya kuosha kapeti
29.  Window cleaner sabuni inayosafisha vioo na milango.
30.  Car shampoo sabuni maalum ya kusafisha na kung’arisha magari.
31.  Dog shampoo sabuni maalum ya kuoshea mbwa,paka nk