Makai ni miongoni mwa waanzilishi kwa kusaidiana
na wakulima kupanda zao la Mlonge. Makai
ilifanya kazi na OPTIMA of Afrika hadi waliposimamisha
kazi zake hapa nchini. Hadi Leo Makai
inafanya kazi na wakulima wengi wakubwa na
wadogo hapa Tanzania. Makai sasa inatengeneza
bidhaa zifuatazo :-
LISHE(FOOD
NUTRIENTS)
1) Unga wa majani ya
mlonge (Moringa Leaf Powder/Leaf Capsules)
2) Mbegu za mlonge (Moringa Seeds/Seed
Capsules)
3) Mafuta ya kula ya
mlonge (Moringa Pure Natural Natural oil)
4) Dawa ya kuborshesha
lishe (Morinutrition
Capsules)
5) Tiba ya Presha (Moripressure Capsules)
6) Tiba ya kisukari (Moribetes
Capsules)
7) Tiba ya Maradhi sugu (Multpurpose
Capsules)
8) Tiba ya malaria (Morilaria Capsules)
9) Tiba ya kifafa /Cholesterol/Figo (Moringa
Roots Capsules)
10) Dawa ya kuboresha
mfumo
11) wa uzazi wa kiume
na wa kike (Moripowe for Men / women)
12) Tiba ya meno
(Morident Tooth Powder)
VIPODOZI/COSMETICS
13) Mafuta ya nywele
ya mlonge (Moringa Hair Food)
14) Mafuta ya kupakaa
ya mlonge (Moringa skin care oil)
15) Mafuta ya kuchua
ya mlonge (Moringa Massage Lotion)
16) Mafuta ya maumivu ya misuli (Moringa Sports Ointment)
na ganzi
17) Shampoo ya Mlonge ( Moringa
Shampoo)
18) Krimu ya kusugua usa
na mwili (
Moringa Face & Body Scrub)
19) Mafuta ya Kuondoa
madoa (Moringa body cleanser)
20) Dawa ya kusafishia vyoo (Moringa Disinfectant)
21) Dawa ya kusafisha nyumba, (Moringa Detergent
Sakafu na masinki
22) Sabuni za kuogea za mlonge (Moringa Toilet Soaps)
23) Sabuni
maalum za akina (Mwaniki
Ladies Soap)
mama za mlonge
24) Sabuni ya kunawia
mikono (Moringa Hand wash)
25) Sabuni ya kuogea
ya maji (Moringa Body Shower)
26) Sabuni ya kusafisha Tiles (Moringa
Tiles Cleaner)
27) Sabuni ya unga ya kufulia (Moringa Detergent Powder)
28) Sabuni ya kuoshea vyombo (Moringa Dish wash detergent
29) Sabuni ya kuondoa madoa (Moringa Chlorine Based Bleach)
Kwenye nguo nyeupe
30) Sabuni ya kuondoa
madoa (Moringa stain Remover
on white)
Kwenye mashuka na (Towels and white Sheets)
31) Sabuni ya kuondoa madoa (Moringa Oxygen Bleach)
Kwenye nguo za rangi
Thanks for sharing this!!
ReplyDeleteOrganic Moringa products