Pata
mlonge ulioboreshwa kitaaalam na uliopimwa na Mkemia Mkuu wa Serikali kwa
labaratory namba 761/06. Mlonge uliopakiwa kwenye capsules ambazo ni lishe
kinga na tiba.
Jipatie
ushauri na mwongozo wa lishe kwa magonjwa ya presha, kisukari, allegy
kupunguza uzito na kuboresha mifumo yote katika mwili.
LISHE,
KINGA NA TIBA
1.
Moringa leaf powder /capsules
huongeza proteini, vitamini karibu zote ,madini kama Omega 3, na antioxidants.
Inaondoa allergies, huboresha na kuimarisha mwili.
2.
Morinutrition capsules inatibu na
kujenga maumivu ya mifupa na kuongeza kinga mwilini.
3.
Moribites capsules tiba ya
kisukari inayozalisha .
4.
Moripressure tiba ya presha ya
kupanda na kushuka .
5.
Morimalaria tiba ya malaria sugu na
malaria ya kawaida na kinga ya malaria.
6.
Multipurpose capsules tiba ya
maradhi sugu na inatibu gallstones
na uvimbe nyinginezo katika mwili.
7.
Moripower capsules men / women
huboresha wa mfumo wa uzazi na kuondoa uvimbe wa henia na fibroid.
8.
Moringa organic seeds/capsules
inaondoa sumu na maumivu makali,cholesterol na zinaondoa stress (sonona)
9.
Moringa root capsules inaboresha mifumo
na kuondoa maumivu ya arthritis na rheumatism na tiba ya kifafa.
10. Moringa pure oil inatibu moyo ,kusafisha figo
,maumivu ya cancer, vidonda vya tumbo inaondoa cholestrol.
11. Morident Powder tiba
ya meno yaliyotoboka,fiizi na huimarisha meno na kuondoa harufu mbaya
mdomoni.
COSMETICS
(VIPODOZI)
12. Moringa skin care oil tiba ya ngozi, chunusi na kuondoa
madoa, miwasho na makovu.
13. Moringa massage
lotion mafuta ya kuchua kwa maumivu ya mgongo, kiuno, miguu na
baridi ya bisi
14. Moringa sports oinment mafuta kwa ajili ya maumivu ya misuli
ganzi na kwa wagonjwa waliopooza.
15. Moringa hair food
mafuta ya nywele yenye vitamin c yanaimarisha na kukuza nywele huondoa mba
na fangasi za kichwani.
16. Moringa shampoo
huondoa mba kwenye ngozi ya kichwa ,miwasho kichwani mapunye/mashilingi
na hulinda ngozi ya kichwani kisipate fangasi.
17. Moringa handwash sabuni ya kuosha mikono inayoua
vijidudu /bacteria wa aina yote
18. Moringa toilet soap sabuni ya kuongea ina protini,
vitamin c hulinda ngozi yako dhidi ya fangazi, mba,upele, mapunye na
miwasho ni nzuri kwa watoto wachanga na watu wazima.
19. Mwaniki ladies soap
sabuni maalum ya akina mama huondoa miwasho sehemu za siri makwapani
na mapajani.
20. Moringa face and body
scrub huondoa mafuta yaliyoganda mwilini,ukurutu kufungua vitundu vya ngozi
na kuondoa mibabuko,makovu na chunusi.
21. Moringa disinfectant ni sabuni ya kutakatisha masinki,
sakafu .choo na kuua wadudu
22. Moringa detergent
sabuni ya kufulia nguo,kusafisha nyumba, kusafisha vyombo vya nyumbani na choo .
23. Moringa dishwash sabuni ya kuoshea vyombo.
24. Moringa Chloride Bleach sabuni ya kuondoa madoa kwenye nguo
nyeupe.
25. Tiles Cleaner sabuni ya kusafisha tailizi.
26. Toilet cleaner sabuni ya kusafishia choo na kuondoa harufu
mbaya.
27. Degreaser sabuni maalum ya kuosha sehemu zenye oili,grisi na
pia iunasafisha injini za magari
28. Carpet cleaner sabuni ya kuosha kapeti
29. Window cleaner sabuni inayosafisha vioo na milango.
30. Car shampoo sabuni maalum ya kusafisha na kung’arisha
magari.
31. Dog shampoo sabuni maalum ya kuoshea mbwa,paka nk
No comments:
Post a Comment